"Prometheus na Moto daima"
Kianzilishi (Prologue)
Nilimuona yeye wakati moja
-Miake iliopita-
Nilimsikia yeye
Alikuwa akilia
Alikuwa… akipiga unyende
Mwili wake
Ulifungwa kwa jiwe mbovu
Jiwe la damu, jiwe la uovu
-Tusiweze kusahau-
Alikuwa akilia kwa maana
Alikuwa akiota
Kuhusu jamii, alituota
sisi,
Alidhani kuhusu
alivyotupenda sisi,
Kwa hivyo, baba wetu
Mtukufu, mwenye hodari
Aliiumwa ndege mkali
Moyo wake ulikulwa
Ngozi yake ilikatwa-
Ndege huo, huo ndege mwovu
Ulimuuma Prometheus
Kukata, kupasua
Damu yake ilimwagwa
-Alitufikiria sisi tu-
Damu yake ilipotea
-Alitufikiria sisi tu-
Prometheus Alitupa sisi
kila kitu
Kwa hivyo, nitawaambia
hadithi hii
Hadithi hii ni kweli,
Nitakavyowaambia hadithi
Ni ilivyotukiwa.
Hadithi hii: Prometheus na
moto wa daima.
Kianza
cha kwanza
Kabla
ya wakati ulipozaliwa
Kabla
ya kitu cha kwanza,
Kuna
Miungu wa ugiriki,
Kabla
ya kitu cha kwanza
-Kilidhani-
Kwamba
kitaweza kuzaliwa
Hapo
Zamani, wakati vitu havikutamani
Kwa
urafiki na mapendo
Miungu
hao ni viongozi wa
Dunia
na Mbinguni
-Hapo
zamani-
Kabla
ya kitu cho chote kilipiga kelele,
Na
Wakati huo huo,
Viongozi
hao
Husherehekea,
hukunywa mvinyo ya damu
Hucheza
walipo mwili wa nyota
Lakini
Zeus, baba wa miungu
Alihisi
wasiwasi,
Alihisi
peke yake,
Ijapokuwa
alikuwa na miungu wengi,
Alihisi
peke bado.
Zeus
alidhani kwamba atazae maisha
Maisha
makudumu
Maisha
wataweza waisho,
Vitu
kama taa ya daima
Taa
ambazo zitamsaidia Zeus
Kulala
tena.
Kwa
hivyo, Zeus alizaa maisha mbalimbali
Wanyama
wa wawitu,
Miti
ya ajabu,
Maua
mipendeza
-Nyota
ya dunia-
Muhimu
zaidi:
Watu
wa jamii
Mawe ambao wataishi,
Ambao wataimba
Ambao watakucha Miungu hao
Watu walikuwa wakiishi kwa
wakati ufupi
Kuishi, kufa tu,
Sayari, zilianguka.
Kwa hivyo, jamii
walizaliwa
Siku ya muhimu hiyo.
Miaka mingi iliopita
Na Miungu wabovu
husherehekea bado
Bustani salama kwa
mbinguni
Ilikuwa ikihumea kuelekea
Mwezi, angani ya mwanga
Zeus alifurahia na mvinyo,
Alikunywa zabibu za damu
Alihisi daima, ajuba
…Hadi Siku moja…
Zeus aliwatazama watu wote
–Na-
Aligundua kwamba,
-kama maua katika bustani
ya kwanza –
Jamii walikuwa na heri
Maisha wafupi—walikuwa na
heri
Waliishi wazima, lakini
Zeus ana mpango huu
Kwa hivyo aliondoka
nyumbani yake
(Katika mbinguni)
Alifika yupo dunia kama
paka mkali,
Halafu akakimbea kuelekea
vijiji vya jamii
Alipofika watu nyumbani
zao, akawachukua moto wao
Aliwaiba watu roho kwa
mapafu na moyo wao
Halafu akarudi mbinguni
kucheza, kulala salama
Lakini kabla ya atalala,
alitia moto wao
Katika mfukoni (Gordian)
Kazi yake ni mwisho.
Prometheus
alizaliwa Majitu (Titan),
Lakini
aliishi kama Mungu
Badaa
ya Prometheus alienda vitani
Kusaidia
Miungu hao
-Vita
hivyo vyenye damu-
Vilimtengeneza
miungu shujaa
Prometheus
alimuona Zeus aliwaua watu
-Yeye
alimona Zeus aliwachakua moto wao-
Prometheus alihisi huzuni
katika roho yake
Aliwaota kwamba watu wana
maisha bora,
Alitaka kwamba watu wana
maisha yo yote.
Kwa hivyo Prometheus
alipata moto wa jamii
Basi aliondoka nyumba yake
Halafu nikafika dunia kama
Miungu Majitu.
Alienda kwa mlango mmoja
kuenda mlango ijayo
Alikuwa akiwaleta watu
moto wo wote wao
Aliwaleta maisha wao tena
Watu
hao husherehekea kila siku na
Kuliimba
Prometheus jina yake,
Prometheus
mwenye hodari,
Prometheus
mapepo uzuri.
Hermes
Alimuambia Zeus kuhusu moto maisha na
Zeus alikuwa na hasira
Zeus na familia yake walimchukua
Prometheus
na alifunga mwili wake mgumu
Kwa jiwe ya damu.
Jiwe
ya uovu
Halafu,
Ndege
kubwa akambiwa
Kwamba
atamwume Prometheus,
Kuchukua na kukula moyo hodari yake.
-Prometheus,
baba wetu, baba wa asubuhi
Juu
wetu, nyota wetu-
Prometheus
hawezi kufa,
Kwa
hivyo umia yake
Huendelea
daima
Majeraha
wake yalikuwa huponya.
Miezi
zilipita hadi mnawake mmoja
Alimsikia
Prometheus alia.
Prometheus
alipiga kelele
Kwa
umia yake.
Siku moja, siku ya ajabu
Mnawake
mwenye, mpendeza
Nywele
yake kama mchana ya jua
Moyo
wa hodari, moyo wa akili
Malaika
wetu wa asubuhi
Alikimbia kuelekea Prometheus
Wakati
alimsikia Prometheus akihapa,
-Alia
kwa Mbinguni za tupu-
Mnawake
mpendeza, malaika wa asubuhi
Alimona
ndege wa ouvu
Mdomo
yake walikuwa wakitona na damu
Damu
wa Prometheus mwenye hodari,
Malaika
alishikilia panga warefu
Panga
lenye simu,
(Halafu)
Akamkata Ndege kichwa yake
Kichwa
kikubwa kilianguka pole
-Kama
wimbo ya mahaba-
Mnawake
wa malaika alimchukua kichwa cha ndege
(Halafu)
akamtupa kichwa hicho
Katika
bahari ya hasira
Mnawake
akampa Prometheus uhuru yake.
Prometheus
na mnawake wa malaika
Walienda
kuelekea vijiji wa jamii
Walipofika
dunia, Prometheus aliwaambia watu wote
“Watu
wazuri, kupigane na Miungu wa shetani na mimi!!
Wamemwaga
damu yetu, sasa tutawamwaga Miungu damu yao!”
Watu
wa jamii walipiga kelele na walisema
“Panga
warefu wetu, damu nyekundu wetu
Ni
yako sasa, Katika vita, katika kufa, tutapigana!”
Prometheus
aliwaeleza mpango huu-
Kuwadanganya
Kuwaua Miungu wa shetani
Kwa
hivyo, Watu Wote walipiga kelele
Na
Walisema, “Miungu wa shetani, kuje hapa sasa
Walipigane
na Sisi!!”
Miungu
walikuwa na hasira na akafika dunia
Na
Panga wao warefu wa simu,
Miungu
hao, wakali, Miungu wa vita
Walikuwa
njaa kwa damu
Wakati
huo huo
Prometheus
alienda kama nyoka upesi
Kwa
Moirai (The Fates) nyumbani wao
-Binti
za usiku-
Nyumbani
ya chafu
Ilijengwa
ya buibui
Akachakua
Miungu nyuzi za maisha
Na
akaiba Atropos’ mkasi yake
-Wazazi
wa wafu-
Na,
akakata nyuzi hizo
Kwa
hivyo, Miungu hao walianguka kama
Mvua
la zito,
Katika
kaburi ya dunia
Na
Prometheus alichoma mbingu yote,
Mioto
hiyo huchoma na ilikula
Hekalu
za ajuba, ilikula
Nyumba
nzuri za Miungu zao.
Watu
wa jamii walikuwa viongozi vya mpya
Maisha
mafupi na moto wa daima
Roho
wa watu hawawezi kufa.